Umewahi kujiuliza kwa nini bangili za shanga zenye rangi za bendera za mataifa mbalimbali zinapendwa na watu wengi ndani na ...
Kwa wengi njiwa ni kitoweo na hufugwa kwa mapenzi si biashara. Lakini Deogratius Temba, kijana kutoka Dodoma, Tanzania amebadilisha dhana hiyo. Anafuga njiwa wa kipee. Hawa ni njiwa wanaojulikana kama ...
Msanii Mbali Mthethwa amefufua Sanaa ya utengenezaji mapambo kwa kutumia shanga. Anatumia ujuzi wa kitamaduni lakini unaofifia wa kutunga shanga kama msingi wa kutengeneza mapambo makubwa ya ukutani ...